Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 25, 2011

Mambo Gado.......

 Kanyaga Twende ndio Msemo wa madereva wengi wa Mjini Mbeya hapa Basi linakatiza  mitaa sasa sikujua kama lilikua linakwepa Trafiki ama mapato...maana Jijini Mbeya huo ndio ugonjwa mkubwa wa Madereva walio wengi

No comments: