Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, March 23, 2011

Makamu wa Rais alikuwa mgeni Rasmi siku ya Maji Jijini Mwanza

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal na Barozi wa Japan Nchini Tanzania Mh.Hiroshi Nakagawa wakikata utepe wa kuzindua Mradi wa maji safi na salama katika kijiji cha Ng'hungumalwa Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza. Kulia ni Waziri wa maji Mark Mwandosya.

No comments: