Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 22, 2011

Majina ya walio Fariki katika ajari ya Kundi la Taarabu na waliojeruhiwa yatajwa

Baadhi ya wasamalia wema waliokuwepo katika eneo latukio baada ya ajali kutokea kwa basi ndogo la wasanii wa Five stars modern Taarab wakichunguza kama kuna masalia ama mtu aliyebanwa katika ajali hiyo iliyo tokea jana usiku Mikumi.
Msanii wa kikundi cha East Africa Melody  Bi Mwanahawa Ally akiwa wodini katika hospitali ya mkoa wa Morogoro leo Baada ya kujeruhiwa katika Ajali hiyo la basi dogo la Five starts modern Taarabu.
Picha zote na habari kwa hisani ya Globu ya jamii kwa habari zaidi bofya hapa chini.

No comments: