Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, March 16, 2011

Jishindie Zawadi nono....kutoka Mbeya Yetu Blog

Hili eneo lipo Mkoani Mbeya...Tuambie Panaitwaje?Mshindi kuondoka na Zawadi nono

Chukua muda kulitambua eneo hili vizuri.

3 comments:

sikudahni khamis said...

naomba kujaribu, nadhani ni njiani pale kama iwambi unapoelekea mbalizi

Junior Matukuta said...

Hapa ni Ruanda ya Mbozi barabara kuu ya Tanzania-Zambia.
Plz naomba unipe zawadi yangu kaka Mwaisango coz cjakosea wala kubahatisha.

Junior Matukuta said...

Tena hapo kwenye mti wa mmbula kuna kanisa na pembeni kuna makaburi.
Na hii pic umepiga kama unatokea Mbozi kuja Mjini.