Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, March 14, 2011

Jishindie Zawadi nono....kutoka Mbeya Yetu Blog

Hili eneo lipo Mkoani Mbeya...Tuambie Panaitwaje?Mshindi kuondoka na Zawadi nono..

4 comments:

Anonymous said...

Hapa Ni songwe Kilipokuwa kiwanda cha nguo na mbele kwenye kona ni Songwe Kiwanda cha Saruji Naitwa Kennedy napatikana kupitia kuswege@hotmail.com

Raymond Mkandawile said...

Kaka Fredy hapo ni Songwe just after Mbeya Cement.......

Raymond Mkandawile said...

Kaka hapo ni songwe just after saruji panaitwa NAnyara....raymonds19@yahoo.com from uk london

Mbeya Yetu said...

Asanteni kwa Majibu mazuri sana lakini Hapo si Songwe hivyo nawasihi kujaribu tena.
Fredy