Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 19, 2011

Harusi za jijini mbeya na usafiri wake

Hakika usafiri wa bajaji umepunguza gharama kubwa za kukodi magari ya kifahari katika harusi nyingi hapa jijini baadhi ya wanaqkamati sasa wameamua kutumia bajaji katika kupendezesha harusi send off na sherehe mbali mbali katika misafara ya barabarani ili kupendezesha mikanda ya video

No comments: