Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 24, 2011

HABARI YA KUSIKITISHA: MWANADADA AULIWA VIBAYA USIKU WA KUAMKIA LEO BARABARA YA SAYANSI KIJITONYAMA.


 Ni kama saa 9 usiku wakati narudi zangu nyumbani nikitokea Club nimekutana na unyama huu naweza kusema, dada mmoja asiyefahamika jina lake mara moja inasemekana ametupwa kutoka kwenye gari kuanzia kwenye mataa ya Bamaga na kuburuzwa hadi maeneo ya stand ya Kijitonyama Sanyansi.
Gari hilo halikuweza kujulikana mara moja wala halikusimama kabisa lilikuwa kwenye mwendo kasi 
Picha na malezo kwa Hisani ya Bongo star Link 

No comments: