Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 24, 2011

DR.SHEIN AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI WA URAIS

Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akipokea hati ya utambulisho ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar  na cheti cha ushiriki wa kugombea Urais Huo,Katika uchaguzi uliopita kutoka kwa makamu mkuu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Said Bakari Jecha. Ikulu mjini Zanzibar Jana. (Picha na Ikulu Zanzibar)

No comments: