Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 24, 2011

Dk Ali Shein Apokea Mfumo wa noti Mpya kutoka kwa Gavana Prof Ndulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea albamu ya mfumo wa noti mpya kutoka kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu alipofika na ujumbe wake Ikulu mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman-Ikulu,Zanzibar

No comments: