Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 19, 2011

DIAMOND SASA KUJULIKANA KAMA RAHISI WA WASAFI

Artist toka TZ aka Rais wa wasafi, Diamond Platinumz amefunguka kuhusu tofauti ya Sharobaro na usafi.
Sharobaro inamaanisha tozi,kijana anayejisikia,anayetupia pamba,hey baby au mtoto wa mama .
Wasafi inamaana ya Usafi wa Mavazi na mwili,Kutovunja amri 10 za mungu ovyo, Kufata sheria za nchi,Kufanya kazi vizuri na kwa uhakika.

Pia ameitaja safu yake ya uongozi ya Wasafi;
1.Rais wa wasafi, Diamond Platinumz
2. Makamu wa rais wa wasafi, Hemedi aka PHD
3. Waziri Mkuu wa wasafi, Shetta

Pia wako mbioni kuanzisha kampuni ya movie yeye na 'mtu wake wa karibu' Wema Sepetu aka Miss Tanzania 2006

No comments: