Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, March 23, 2011

CHIFU MWAMLIMA AKIRI AMEZIDIWA NA WANANCHI

Chifu wa eneo la Iyula wilayani Mbozi Mwamlima  amesema amezidiwa na nguvu za wananchi katika uharibifu wa mazingira kwenye eneo lake ambapo wamekuwa wakifyeka hadi msitu wa chifu maajabu!!!!!

No comments: