DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI |
SASA HAPA YUPO KAZINI |
BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO |
ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA |
WAFANYAKAZI WA BASI LA NDENJELA KABLA YA KUANZA SAFARI |
MABASI YA NDENJELA NIYAKISASA YANAFANYA SAFARI ZAKE MBEYA DSM KILA SIKU |
21 comments:
Mungu Ibariki Ndenjele,Mungu Ibariki Uyole
Inshaallah
inaonekana kampuni imejipanga kutoa huduma nzuri. kila la kheri mungu awabariki
Mashaallah kila la kheir
Nothing can limit anything. Keep it up mama. Ila ujue na baba watoto anahitaji huduma yako kipekee muda wowote au unasafiri naye kila trip?
Keep it up mom but remember that some people they dont like 2 see u on driving, u have 2 pray before the journey.
nimeipenda sana hii namkumbuka yule rubani mwanamke alienitoa dar hadi mbeya......
Aisee, hongera sana dada mkubwa,,,lakini angalia, kama una miaka ishirini na nane kweli, ni kinyume cha sheria ya usalama barabarani kwasababu kupata daraja C-Plain lazima uwe na miaka 30 na kuendelea,,labda kama sheria imebadilika.but sorry kama nimekosea....KAZI NJEMA DADA MKUBWA.
NIMEPENDA SANA DADA ANGU MUNGU AKUSAIDIE
Umenihamasisha sana dada yangu piga kaz!
Napenda kusafiri na Ndenjela kwakweli wanajitahidi kwa huduma,hata wafanyakazi wake wanakauli nzuri kwa wateja wake. Mungu azidi kuwabariki.
SIDHANI KAMA KUNAHAJA YA DEREVA MWANA MAMA KUSAFIRI NA MUMEWE, VINGINEVYO USIKUBALI HUO UTUMWA KAMA HAWEZI KUBAKI HOME AACHIE NGAZI KWANI KAZI NI KAZI. MBONA WAO HAWASAFIRI NA WAKE ZAOOOO
Na akijipendekeza kutaka asafiri nae lza itifaki izingatiwe yeye ni abiria kama wengine lzm ALIPEEE.
zuko vzur
zuko vzur
GREAT my sister! this is gender equality! why not women? May God b ahead of u in ua journey.
keep it up on the mvng.
great mungu akubariki sana onesha njia madume nao wapunguze munkari barabarani, wewe profesheno bana
Bigup sis
Hongera Ndenjela kwa ubunifu Na huduma mnayotoa. Inaonyesha no huduma nzuri inayokubalika Na wateja wenu. Mwenyezi Mungu awabariki
KAZA BUTI DADA FUATA USHARI KWA WATU AMBAO NI MZURI NAKUMBUKA HAWA THE BUS DRIVER
safi sana hongera dada angu
Post a Comment