Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 30, 2012

Wanafunzi wa Shule za Msingi Vwawa Mkoani Mbeya wameandamana kwa ofisi ya Mkoo wa wilaya iliyopo Ichenjezya kutokana na mgomo wa walimu

 Wanafunzi wakiwa wanaelekea ofisi ya Mkuu wa wilaya 
Wanafunzi wa shule za msingi Vwawa wakiwa wanapiga vidumu huku wakielekea ofisi ya mkuu wa wilaya ni Baada ya walimu kugoma.
Picha na Arithy wa Mbeya yetu Blog

No comments: