tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post8880763648457538875..comments2023-12-20T06:03:43.723+03:00Comments on Mbeya Yetu: HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAPIGA MARUFUKU USHONAJI NGUO NJE YA VIBARAZA KATIKATI YA JIJI LA MBEYATANZANIA TIMEhttp://www.blogger.com/profile/17646824371760322532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-74682129880805668192011-11-04T21:38:26.484+03:002011-11-04T21:38:26.484+03:00Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio ...Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio wa msingi.Sheme mafundi wetu mtakwenda wapi?watafaya nn na je ni nn ataziangalia familia zao????au kuna mafungu watapewa iwasaidie hd wapate pahala pengine?kwa kuwambie watafute flem za biashara wenyewe haitasaidia. Ila hao walotoa huo uamuzi wamewataftia flem wenyewe na kuwapangisha lingekua jambo zuri sana kwan watalipa kodi na wataftiwe maeneo yalo busy wapate riziki yao.Angalieni kitu kingine cha kufanya isiwe sababu kwao tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-36267557010359503972011-11-04T21:33:15.177+03:002011-11-04T21:33:15.177+03:00Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio ...Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio wa msingi.Sheme mafundi wetu mtakwenda wapi?watafaya nn na je ni nn ataziangalia familia zao????au kuna mafungu watapewa iwasaidie hd wapate pahala pengine?kwa kuwambie watafute flem za biashara wenyewe haitasaidia. Ila hao walotoa huo uamuzi wamewataftia flem wenyewe na kuwapangisha lingekua jambo zuri sana kwan watalipa kodi na wataftiwe maeneo yalo busy wapate riziki yao.Angalieni kitu kingine cha kufanya isiwe sababu kwaoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-54127309590861778622011-11-03T23:34:18.843+03:002011-11-03T23:34:18.843+03:00sasa hao wazee watakula wapi .AU serikali ita...sasa hao wazee watakula wapi .AU serikali itawalipaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-19141706548763187982011-11-03T13:21:22.541+03:002011-11-03T13:21:22.541+03:00Viongozi wetu wakati mwingine hawana busara, wanas...Viongozi wetu wakati mwingine hawana busara, wanashindwa kushughulikia mambo ya msingi wanakimbizana na wananchi wanaojitafutia riziki kihalali. Ni bora wawalipishe kodi wanayoitaka, ili waendelee na kazi zao.Anonymousnoreply@blogger.com