tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post5999735736634512510..comments2023-12-20T06:03:43.723+03:00Comments on Mbeya Yetu: UCHAWI UCHAWI UCHAWITANZANIA TIMEhttp://www.blogger.com/profile/17646824371760322532noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-36735640471133854372014-06-01T18:38:19.046+03:002014-06-01T18:38:19.046+03:00Napo sihami mbeya
Napo sihami mbeya<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-24981161298581533272013-06-04T10:54:12.903+03:002013-06-04T10:54:12.903+03:00mbeya nyinyi nomambeya nyinyi nomaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/15327670565357114536noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-91726657172040098602013-05-06T18:03:46.071+03:002013-05-06T18:03:46.071+03:00Da mbeya imenichosha kwa matukio.du huu maji noma ...Da mbeya imenichosha kwa matukio.du huu maji noma hapo mi no comment Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-42849383508494811772012-10-19T08:47:51.454+03:002012-10-19T08:47:51.454+03:00jamani mpeleke kwa dr.manyaunyaujamani mpeleke kwa dr.manyaunyauAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-89058672249076141492012-09-10T09:41:27.305+03:002012-09-10T09:41:27.305+03:00Wabongo tunapenda kufikia uamuzi kwa kuendekeza dh...Wabongo tunapenda kufikia uamuzi kwa kuendekeza dhana zetu tu. Zipi sababu hata 100 kidogo kwa huyu mwanamke kuwa hivi, lakini kwa sababu ya kutokuwa na elimu ya kutosha bado tumebaki na mambo ya kizamani kwamba kila kitu kisichokuwa na ufafanuzi wa wazi kinatokana na uchawi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-79445307454288426062012-05-29T15:14:15.106+03:002012-05-29T15:14:15.106+03:00Duh, mwanafunzi wa chuo kikuu mwehu?Duh, mwanafunzi wa chuo kikuu mwehu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-54606286901177061032012-01-23T01:59:29.012+03:002012-01-23T01:59:29.012+03:00Hata mimi nilikuwa na wazo hilo hilo, ndugu Mwasa...Hata mimi nilikuwa na wazo hilo hilo, ndugu Mwasambili. Tunawajibika kuwa wadadisi na kuangalia uwezekano wa aina mbali mbali. Je, pengine alilewa au kueleweshwa madawa ya kulevya? Pengine ameachwa hapo na wabakaji. Tukisema tu ni mchawi, bila uchunguzi zaidi, tunaweza kukosea.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-13220145208021626082012-01-19T15:21:21.801+03:002012-01-19T15:21:21.801+03:00inawezekana ni mwehu mumemhoji?inawezekana ni mwehu mumemhoji?G.Mwasambilinoreply@blogger.com