tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post5607808675583909188..comments2023-12-20T06:03:43.723+03:00Comments on Mbeya Yetu: HABARI YA KUSIKITISHA: KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida watoto wawili wenye umri wa miaka saba na nane wametelekezwa na wazazi wao kwa muda wa miezi mitano bila huduma za msingi. jijini MbeyaTANZANIA TIMEhttp://www.blogger.com/profile/17646824371760322532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-37619863413342024142014-01-29T18:52:00.304+03:002014-01-29T18:52:00.304+03:00munguawajalie majiran roho ya huruma na upendo ili...munguawajalie majiran roho ya huruma na upendo ili kuwajali watoto haoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-48126685142901523122013-10-23T12:53:32.635+03:002013-10-23T12:53:32.635+03:00Hao watoto wanaangaliwa na nani mpaka sasa, wakati...Hao watoto wanaangaliwa na nani mpaka sasa, wakati jamii ikitafuta wazazi wao? Au ndio huruma za mamba?<br /><br />Serikali inapaswa kuchukuwa hatua kali sana kwa wazazi wa namna hii... <br /><br />Jambo lingine ni vema kuwa na vituo maalum vya kulelea watoto ambao wametelekezwa na wazazi wao ili kukinusuru kizazi hiki ambao ndio vijana wa kesho... Hawa watoto na wengine kama hawa kama hawata angaliwa vema, ndio watakao kuwa aidha majambazi wa kesho au wenye kufanya biashara ya kujiuza... Kuna haja ya jamii kuamka na kuliona ili, maana tunatengeneza jinamizi ambalo litakuja kutumaliza kesho na kesho kutwa...!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-27130208181159439222013-10-12T22:32:48.499+03:002013-10-12T22:32:48.499+03:00Ndugu mwandishi mimi binafsi nimeguswa sana na hao...Ndugu mwandishi mimi binafsi nimeguswa sana na hao watoto kuishi mazingira. Ila ingekua vizuri kama ungeweka wazi uwezekano wa hao watoto kusaidiwa kwa namna yoyote.au kama kuna anawaangalia kwa sasa atoe mawasiliano mtu mwenye chochote tuweze kutuma msaada wowote tulionao. Pia ungeomba waandishi wenzako blogu kubwa kama mimi Michuzi, kule ni rahisi kusaidiwa hao watoto. Inasikitisha sana. Dada arushanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-69314909726687542932013-10-12T16:46:42.002+03:002013-10-12T16:46:42.002+03:00Inasikitisha inaumiza, kwa kweli kuna wazazi wengi...Inasikitisha inaumiza, kwa kweli kuna wazazi wengine wana roho ya ukatili,hivi siku hawa watoto wakikua na wakiwa na kazi zao, wazazi wao watajivunia kuwa ni watoto wao?Rashid Mkwindahttps://www.blogger.com/profile/10110292148764605895noreply@blogger.com