tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post3094034603509629522..comments2023-12-20T06:03:43.723+03:00Comments on Mbeya Yetu: JIJI LA MBEYA LAZIDI KUTOA MPYA SASA WAZIBA VIRAKA VYA BARABARANI KWA KUTUMIA UDONGOTANZANIA TIMEhttp://www.blogger.com/profile/17646824371760322532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-84953772505903698942012-04-11T11:46:25.985+03:002012-04-11T11:46:25.985+03:00Nadhani huu ni mradi wa watu wachache wa kujiingiz...Nadhani huu ni mradi wa watu wachache wa kujiingizia pesa, utazibaje barabara kwa kutumia udongo? Viongozi wa jiji la Mbeya nadhani hawako makini na hili suala. Barabara ya kutoka stendi kuu kwenda Meta hosp. wanaziba leo mashimo baada ya wiki moja mashimo yanarudi vilevile, hawalioni hili?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-49016061486716539512012-03-27T23:54:16.263+03:002012-03-27T23:54:16.263+03:00Hii ni aibu, tena kubwa. Wako wapi viongozi? Dhama...Hii ni aibu, tena kubwa. Wako wapi viongozi? Dhamana tuliyowapa wameifanya kuwa mitaji yao. Ukoo wapi uwajibikaji? Na huyu Mh Mbuge anafanya nini? Inasikitisha sana kuona kuwa mambo haya yanafanyika katikati ya jiji sijui huko pembezoni hali ikoje. Viongozi amkeni mtimize wajibu wenu, ndio maana mpo kwenye hizo nafasi. Au mnataka hata kufanya ukarabati wa barabara za ndani waje kukarabati wafadhiri? Shame upon you! Tutakutana 2015<br />Mwana MbeyaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-21700046096560165402012-03-27T17:51:45.037+03:002012-03-27T17:51:45.037+03:00Huyo Mkurugenzi wa Jiji aka Mr. Idd jiji limemshin...Huyo Mkurugenzi wa Jiji aka Mr. Idd jiji limemshinda. Kumbe Kabwe alikuwa anauwezo wa hali ya juu!Anonymousnoreply@blogger.com