Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, February 27, 2011

Important News: Be Aware of 'Black in the White House' Virus


This message warns recipients to watch out for emails with an attachment called "Black in the White House". A later version changes the wording slightly to "Black  in the White House". The message warns that opening the attachment will launch a destructive computer virus that will "burn" the hard drive of the recipient's computer thereby damaging it beyond repair. Supposedly, the virus destroys the "Zero Sector" on the infected computer's hard drive. According to the warning, the virus has been classified as the "most destructive ever" by Microsoft and CNN.
However, the information in the message is untrue. There is no a virus like the one described in the warning. In fact, the warning is just a newer incarnation of an older virus hoax that has circulated for several years. As the following example illustrates, the wording in the message is very similar to the other virus that began circulating back in 2006:
You should be alert during the next days: Do not open any message with an attached filed called "Invitation" regardless of who sent it. It is a virus that opens an Olympic Torch which "burns" the whole hard disc C of your computer. This virus will be received from someone who has your e-mail address in his/her contact list, that is why you should send this e-mail to all your contacts. It is better to receive this message 25 times than to receive the virus and open it.


If you receive a mail called "invitation", though sent by a friend, do not open it and shut down your computer immediately.

This is the worst virus announced by CNN, it has been classified by Microsoft as the most destructive virus ever. This virus was discovered by McAfee yesterday, and there is no repair yet for this kind of virus. This virus simply destroys the Zero Sector of the Hard Disc, where the vital information is kept. SEND THIS E-MAIL TO EVERYONE YOU KNOW, COPY THIS E-MAIL AND SEND IT TO YOUR FRIENDS AND REMEMBER: IF YOU SEND IT TO THEM, YOU WILL BENEFIT ALL OF US

And the "Invitation" hoax is in turn a revamped version of the even older virtual card oax that began circulating as early as the year 2000:
WORST VIRUS EVER --- CNN ANNOUNCED


PLEASE SEND THIS TO EVERYONE ON YOUR CONTACT LIST!! A new virus has just been discovered that has been classified by Microsoft as the most destructive ever. This virus was discovered yesterday afternoon by McAfee . This virus simply destroys Sector Zero from the hard disk, where vital information for its functioning are stored.

This virus acts in the following manner:
It sends itself automatically to all contacts on your list with the title: "A Card for You".

As soon as the supposed virtual card is opened the computer freezes so that the user has to reboot. When the ctrl+alt+ del keys or the reset button are pressed, the virus destroys Sector Zero, thus permanently destroying the hard disk. Yesterday in just a few hours this virus caused panic in New York , according to news broadcast by CNN.

This alert was received by an employee of Microsoft itself. So don't open any mails with subject: "A Virtual Card for You. " As soon as you get the mail, delete it !! Please pass this mail to all of your friends.

Forward this to everyone in your address book. I'm sure most people, like myself, would rather receive this notice 25 times than not at All.

Saturday, February 26, 2011

KWAKWELI WAZUNGU HAWAKUWA NA JEURI KWA IDI AMINI DADA


WAALIMU HAWAZEEKI HUYU NI MWALIMU MWANGOMILE KWA WALE WALIYOSOMA ZAMANI MBEYA WATAKUWA WANAMFAHAMU

MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

BEACO NI HOTEL YA KISASA ILIYOPO JIJINI MBEYA MAENEO YA FOREST MPYA

MAHITA UPOOO

Kalimanzira Hata India Wapo Wakiwaongoza Jopo la Wenye Immani Haba Kwa MunguA tribal priest blesses Hindu women prostrating themselves in prayers for fertility during the 'Peddagattu Jathara' festival at a temple in the Nalgonda district, India. The festival, where devotees worship the Hindu god Lord Shiva, has been celebrated for the past 400 years. Photo: Noah Seelam


Read more: Hindu fertility ritual (picture) | Pic of the day | In Pictures | The First Post
"

Kiti MOTO hiki ni BALAA"

HAPA LAZIMA UDATE.....hata ukiwa mgumu vipi


Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana.lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani tupu.
"

Washtakiwa wa Magufuli waangua kilio kortini


BAADHI ya washtakiwa katika kesi ya uvuvi haramu katika Bahari Kuu ya Tanzania, jana walimwaga machozi mahakamani wakililia dhamana.Hatua hiyo ilikuja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuwanyima dhamana.Pamoja na kulia, washtakiwa pia walimkataa Jaji Razia Sheikh kwa madai kuwa hawana imani naye katika uendeshaji wa kesi hiyo na hivyo kumtaka ajitoe.Washtakiwa hao 36 ni raia wa mataifa ya China, Ufilipino, Vietnam na Kenya na wanakabiliwa na mashtaka ya kuvua samaki katika katika Ukanda wa Kichumi wa Tanzania bila kibali.Pia wanakabilia na mashtaka ya kuchafua mazingira ya bahari katika eneo hilo.Washtakiwa hao ambao kwa sasa wametimiza miaka miaka miwili na siku 18 wakiwa rumande, walifikishwa mahakamani jana ili kusikiliza uamuzi kuhusu maombi yao ya dhamana.Awali walikuwa na matumaini ya kuliona jua wakiwa nje kwa dhamana lakini baadaye matumaini hayo yaliyeyuka na kuwa huzuni iliyowalazimisha kumwaga machozi.Kitendo hicho kilikuja baada ya Jaji Sheikh kuwanyima dhamana.Akitoa uamuzikuhusu maombi hayo,Jaji Sheikh alikubaliana na pande zote katika kesi hiyo kuwa dhamana ni haki ya msingi ya kila mshtakiwa kwa makosa yanayodhaminika.Jaji Sheikh alisema kwa mazingira na asili ya kesi hiyo, hawezi kutoa dhamana kwa washtakiwa na kwamba uamuzi umezingatia angalizo la upande wa mashtaka wakati wa kusikilizwa kwa maombi hayo.Jaji Sheikh alisema kuwa suala la kuwa na wadhamini wa kuaminika si sharti pekee la kuwapa dhamana washtakiwa hao na linahitaji pia vibali vya kuishi nchini.

Alisema hata hivyo, bado kuna maswali mahali wanapoweza kuishi ikiwa watu hao wataachiwa kwa dhamana na wakati wakisubiri kesi yao.Huku akirejea uamuzi wa kesi mbalimbali zilizokwishakuamuriwa, na zenye mazingira sawa na kesi hiyo, Jaji Sheikh alisema washtakiwa wote ni wageni wasiokuwa na vibali vya kuishi nchini.

"Kwa mazingira,asili yake na unyeti wa kesi hii na adhabu inayoambatana na makosa yake, hakuna masharti ya kuridhisha kuwa wanastahili kupewa dhamana. Sijaridhika kuwa kama wakiachiwa hawataweza kutoroka," alisema.Uamuzi huo ambaio baadaye ulitafsiriwa na wakalimani wa washtakiwa, ulisababisha watu hao o kutokwa na machozi huku wengine wakiina kwa huzuni.
"

ALAJI

"

JK ashiriki mazishi ya Kada wa CCM Mzee Juma Singano jijini Dar jana


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la kada wa Chama Cha Mapinduzi marehemu Mzee Juma Singano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba wakishiriki kumuombea dua kada wa CCM Marehemu Juma Singano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.(picha na Freddy Maro).

"

TMH Style motomoto yafana sana usiku huu


Mbunimu wa Mitindo,Khadija Mwanamboka (kulia) akimkabidhi zawadi ya ua Mwanamitindo,Jamila Swai ambaye ni mmoja kati ya waliofanikisha shughuli TMH Style Motomoto usiku huu katika hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Sehemu ya Mamodo waliofanikisha shughuli hiyo ya Tanzania Mitindo House Style Motomoto wakipita jukwaani kuonyesha mavazi.

kwa picha zaidi za shughuli hiyo
BOFYA HAPA
"

hii kali school bus

punda afe msigo ufike

watoto hawa watakuwa wahandisi wa kupaka rangi

Thursday, February 17, 2011

MILIPUKO YA MABOMU DAR ES SALAAM

JIJI la Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo limetaharuki kufuatia milipiko mikubwa ya mabomu iliyotokea ghala la kutunzia silaha la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongolamboto, huku kukiwa na taarifa za watu kufa na zaidi ya 100 kujeruhiwa. Timu ya waandishi wa Mwananchi waliotembelea eneo la tukio usiku wa jana, walishuhudua nyumba kadhaa zikiteketea kwa moto baada ya kuangukiwa na mabomu.
Hali ilikuwa inatisha, hata kwa mbali miale ya milipuko hiyo iliweza kuogofya
Kadhalika waandishi hao wa Mwananchi walishuhudia nyumba moja ambayo ukuta wake ulibomoka baada ya kuangukiwa na bomu na ukuta huo kuangukia kundi la zaidi ya watu 12, watu watano wanadaiwa kufa. Mmoja wa walionusurika kwenye tukio la kuangukiwa na ukuta, Juma Nganyanga, alisema kuna uwezekano ya maiti wengine kuwa chini ya ukuta huo.
Nganyanga alisema aliona kundi la watu wakiwa wamekimbilia kupumzika kwenye baraza la nyumba hiyo baada ya kukimbia nyumba zao, wakati wakiwa katika maombi ya kuomba Mungu awaepueshe na janga hilo, ghafla aliona vumbi likitimka kwenye nyumba hiyo.
Mwenye nyumba hiyo, Farida Magwa, ambaye alikuwa akibubujikwa na machozi alisema akiwa barabarani na familia yake, aliambiwa kuwa nyumba yake imepigwa bomu na kuna watu wameuawa. Magwa alisema baadaye waliweza kutoa maiti za watu watano, wakiwamo watoto wawili, lakini kuna uwezekano wa wengine bado wapo wamefunikwa na kifusi cha ukuta huo.
Katika tukio jingine, Mwananchi ilishuhudia maiti ya mwanamke ikiwa kwenye nyumba ambayo imeteketea baada ya kupigwa na bomu eneo la Mzambarauni na maiti nyingine ikipandishwa kwenye gari eneo la gereza la Ukonga. Pia, Mwananchi lilishuhudia jengo la hosteli ya Kanisa Katoliki Ukonga likiwa linateketea kwa moto baada ya kuangukiwa na bomu, huku wakazi wa hosteli hiyo wakiwa wamekimbia.
Moto huo ambao ulikuwa ukiendelea kuwaka hapakuwapo na jitihada zozote za kuweza kuuzima, kwani watu wote walikuwa wamekimbia. Mlinzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania (KKKT) lililopo jirani na hosteli hiyo, alisema alishuhudia mabomu mawili yakitua eneo hilo, moja likitua kwenye nyumba ya hosteli hiyo na lingine pembeni karibu na gereza la Ukonga.
Milipuko hiyo ilianza majira ya saa 2.00 usiku na kuendelea mfululizo hadi saa 6.00 usiku, huku watu wakitaharuki na baadhi ya wanandungu na familia kupotezana. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq, alithibitisha kutokea kwa kifo cha mtu huyo ambaye hata hivyo jina lake lilikuwa halijafahamika.
Katika Hospitali ya Amana, Ofisa Mwandamizi wa Wagonjwa wa Nje, Mussa Wambura, alisema watu wawili walifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini hapo na kwamba, hadi saa 7:00 usiku walikuwa wamepokea majeruhi 88, wengine hali zao zikiwa mbaya.
kutoka kila upande hali milipuko hiyo iliweza kuonekana
Waandishi wa Mwananchi walishuhudia magodoro yakiwa yametandikwa nje ambako wagonjwa walikuwa wamelazwa na wahudumu wa afya kutoka hospitali za TMJ na Hindu Mandal walipelekwa Amana kuongeza nguvu. Pia, Sadiq alithibitisha kujeruhiwa kwa watu 43 na kwamba, serikali ya mkoa ilikuwa imetenga hospitali mbili za Ilala (Amana) na Temeke kwa ajili ya kupokea majeruhi na kuwatibu.
Awali, taarifa za zisizo rasmi zilizolifikia Mwananchi zilidai kuwa, mabomu yaliyolipuka ni ya masafa marefu. Taarifa hizo zilithibitshwa na Sadiq ambaye aliwanukuu JWTZ wakisema, mabomu yaliyolipuka yanaweza kwenda umbali wa kilomita 11 kutoka eneo la tukio, Gongolamboto.
Alisema kwa mujibu wa taarifa hizo, wananchi walipaswa kuondoka eneo hilo na kuelekea katikati ya Jiji la Dar es Salaam na kwamba, wangekuwa salama baada ya kufika eneo la Tazara wakati kwa wale walioelekea Kisarawe alipaswa kwenda hadi eneo la Pugu Kajiungeni.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo, alinukuliwa akiwataka wakazi wa Gongolamboto na maeneo ya jirani kuhama makazi yao kutokana na milipuko hiyo. Kadhalika Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alinukuliwa akiwataka wakazi wa maeneo hayo kuondoka kuepusha athari zinazotokana na milipuko hiyo.
Wananchi wakimbia makazi
Habari zaidi zilisema mamia ya wananchi waliyakimbia makazi yao, wengi wakielekea katikati ya Jiji la Dar es Salaam, lakini baadaye matangazo yaliyotolewa na vyombo vya usalama yaliwataka kwenda Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kupata hifadhi ya muda.
Kwa mujibu wa mashuhuda, watu walikuwa wakikimbia ovyo huku wakipanda magari yaliyokuwa yakielekea katikati ya jiji, kusalimisha maisha yao. Baadhi ya wananchi waliolazimika kuyakimbia makazi yao, walikuwa wakipiga simu chumba cha habari wakilalamikia kupotezana na ndugu zao.
Mamia ya watu kutoka Gongolamboto, Karakata, Tabata, Segerea, Ukonga, Kitunda, Banana na maeneo mengine jirani, walionekana wakipanda daladala, wengine wakining’inia nyuma ya magari hayo yaliyokuwa yakielekea katikati ya jiji, huku mamia kwa mamia ya watu walikuwa wakitembea kwa miguu kuokoa maisha yao.
Kadhalika pikipiki, bajaj na magari ya kama pick-up pia yalitumika kuwahamisha watu kutoka eneo la tukio kwenda kutafuta sehemu ya hifadhi ya muda.
Uwanja wa ndege wafungwa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ulifungwa kwa muda na ndege zote hazikuruhusiwi kuruka wala kutua hadi hapo itakapoarifiwa baadaye. Waandishi wa Mwananchi walishuhudia abiria wengi wa kigeni wakiwa kwenye uwanja wa huo wakisubiri kujua hatma ya safari zao, baada ya ndege walizokuwa wakizisubiri kuamriwa kutua viwanja vya Kia na Zanzibar hadi hapo watakapopewa maelekezo mengine.
Barabara ya Pugu katika njiapanda inayoingia kambi ya jeshi, ilifungwa na magari yote yaliyokuwa yakielekea katikati ya jiji na yale yaliyokuwa yakielekea Kisarawe yalizuiwa.
Mkazi mmoja wa Kigamboni aliyepiga simu ofisi za gazeti hili jana usiku wakati milipuko ya mabomu hayo ikiendelea, alisema wakazi wengi wa Kigamboni walikuwa nje ya nyumba zao, huku wakishuhudia makombora yaliruka juu kuelekea baharini hali ambayo iliwafanya wakazi hao kukumbwa na wasiwasi mkubwa.
“Hivi ninapokupigia wewe, makombora yanapita juu na kila mtu na familia yake wako nje kwa hofu…unasikia muungurumo huu kombora jingine linapita hapa juu kuelekea baharini,” alisikika mwananchi huyo.
Kauli ya Dk Mwinyi
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi, alisema milipuko hiyo ilitokea ghala namba tano na kwamba, kilichokuwa kikifanyika ni kuzuia usienee sehemu nyingine. Dk Mwinyi alisema kambi ya Gongo la Mboto wanaishi wanajeshi na familia zao, lakini maghala ya mabomu yako mbali na kuongeza kuwa, kutokana na milipuko hiyo kuwa mikubwa hawezi kuzungumzia athari.
“Ile ni kambi ya jeshi, watu wanakaa mbali na maghala lakini kwa sababu tukio lenyewe ni kubwa sasa hivi hatuwezi kusema lolote,” alisema Dk Mwinyi. Wakati mabomu hayo yakiendelea kulipuka mwananchi mmoja alipiga simu chumba cha habari cha Mwannchi, akisema Waziri Mwinyi yalipolipuka mabomu ya Mbagala, aliahidi kujiuzulu iwapo ingebainika kulifanyika uzembe.
Hata hivyo, Dk Mwinyi alipoulizwa usiku wa kuamkia leo kuhusu utekelezaji wa ahadi yake hiyo na majibu ya tume zinazoundwa, alisema kilichokuwa kinafanyika usiku ni kuokoa maisha ya watu, masuala mengine yatazungumzwa baadaye.
“Sasa hivi kuna jambo linaathiri watu, kwanza tuwaokoe halafu haya mengine tutazungumza,” alisema Dk Mwinyi. Milipuko ya kwanza ilitokea barabarani mwaka 1972 wakati mabomu hayo yalipokuwa yanahamishwa kutoka Kambi ya Kunduchi kwenda Gongolamboto.
Kwenye kambi hiyo ni mara ya pili kutokea kwa milipuko ya mabomu, milipuko ya kwanza ilitokea mwaka 2008 na kusababisha maafa kwa wananchi wanaozunguka kambi hiyo, wanajeshi na familia zao.
Kila mwaka wataalam wa mabomu jeshini ambao hujulikana kama Ammo tech, wanaofanya kazi chini ya Chief Logistic and Equipment (CLE) hukagua mabomu ambayo muda wake umemalizika ili yaweze kupelekwa Kimbiji kuteketezwa.
Mbagala
Hali ilikuwa tete maeneo ya Mbagala na kusababisha watu wakiwa na watoto kukimbia ovyo, huku wengine wakijikusanya pembeni mwa barabara. Wakazi wa Mbagala ambao walikumbwa na milipuko kama hiyo Aprili 2009, walionekana kuchukua tahadhari mapema baada kuanza kusikia milipuko kwa kuondoka ndani ya nyumba zao.
Mwananchi ilishuhudia wananchi hao wakiwa wamekusanyika pembeni mwa barabara ya Mbagala Rangi tatu-Mbande, hasa eneo la Muhimbili wanakopelekwa wagonjwa wa akili baada ya kupata nafuu, ambako kuna nafasi kubwa.
Maeneo ya Chamazi, Mbande, Charambe na Mbagala Rangi tatu, nyumba zilikuwa zikitikisika kutokana na milipuko hiyo, huku angani kukiwa kumetanda miale ya moto. Mwandishi wa gazeti hili, Midraji Ibrahim, alisema kwenye nyumba yake iliyopo Chamazi, mikanda ya dari (ceiling board) ilidondoka kutokana na kishindo cha milipuko ya mabomu hayo.
Mlipuko wa 2008
Mwaka 2008 kulitokea mlipuko ghala la silaha kwenye kambi hiyo ya jeshi la Gongo la Mboto katika tukio ambalo vyombo vya usalama vilidai kuwa ulitokana na silaha hizo kupata joto kali.
KWA HABARI ZAIDI SOMA GAZETI LA MWANANCHI